UpperTech Company Ltd

Simamia Biashara kwa Urahisi & Unganishwa na Biashara

Jukwaa malidhawa ambapo Biashara/Karakana zinaunganishwa na kupewa nyenzo mahili kwa usimamizi wa biashara/karakana pamoja na uwezo wa kufanya biashara kwa njia ya mtandao
Jiunge Bure
Kuhusu FanyaBiashara

FanyaBiashara ni mfumo wa kimtandao kwa ajili ya biashara/karakana ambao unaweza kutumiwa na aidha wamiliki wa Biashara/karakana ama watumiaji wasio na biashara(watumiaji wa kawaida) kwa ajili ya:
Kusimamia mahesabu: (usimamizi wa ghala/stoku, mauzo, manunuzi, marekebisho stoku, uhasibu, uzalishaji bidhaa na kutengeneza ripoti kwa muda maalumu kwa kila muamala uliofanyika, utambuzi wa bidhaa kwa kutumia barcode na usimamizi wa watumiaji ambao ni wahusika katika akaunti ya biashara).
Biashara kwa njia ya mtandao, kwa watumiaji wa kawaida na wamiliki wa biashara/karakana, ikiwa ni pamoja na mauzo na manunuzi ya bidhaa(kuagiza, kufungasha, kusafirisha, uhakiki wa mnunuaji na muuzaji na utengenezaji wa ankara), , Utafutaji bidhaa/huduma/duka na kuorodhesha kulingana na sehemu mteja/mtumiaji alipo ama sehemu anayopendelea.
Huduma(Usimamizi kuanzia kuweka nafasi, kuhudumia, marekebisho ya huduma wakati wa kuhudumia, Ukokotozi wa ghalama pamoja na muda wa huduma na utoaji wa ankara).
Kutafuta masoko(Kutafuta soko kwa ajili Duka/bidhaa/huduma/kampuni/taasisi n.k.. kwa njia ya mtandao kulingana na sehemu ambapo mtumiaji atakapohitaji anaweza kupata kinachotafutiwa soko) , ghalama nafuu

FanyaBiashara kwa sasa inapatikana Tanzania nzima(Kanda zote, mikoa yote, wilaya zote, kata na vijiji/mitaa yote, kwa Tanzania tu ) na kwa lugha ya kiingereza na kiswahili.

Mfumo huu ni bure kwa watumiaji wa kawaida(hakuna ghalama yeyote kujiunga na kutumia) , na kwa karakana/biashara kuna gharama kujiunga(kwa ajili ya usajiri wa biashara) halafu mtumiaji atachagua kifurushi cha matumizi kuanzia kifurushi cha bure hadi cha kiwango zaidi

Jiunge bure kama mtumiaji wa kawaida(Hakuna ghalama kujiunga na kutumia)

Baada ya kujiunga kama mtumiaji wa kawaida, Ikiwa una biashara/karakana ya kusimamia unaweza kuwezesha akaunti za usimamizi na ghalama ya kuwezesha itategemea na idadi ya matawi utakayokuwa ukisimamia. Ghalama ni TZS. 10,000/= kwa tawi 1 + tawi jingine moja la nyongeza. Baada ya kuwezesha utachagua kifurushi cha namna ya matumizi kwa kila tawi la kusimamia

FanyaBiashara Kwa Watumiaji wa Kawaida

Unganishwa moja kwa moja na wauzaji

Agiza na nunua kutoka kwa wauzaji unaowaamini popote ulipo

Pata Taarifa mpya kutoka kwa wauzaji wako unaopendelea

Wasiliana na wauzaji wako

Tafuta na pata unachokihitaji kilichopo karibu yako na popote unapotaka

Pata taarifa za kibiashara na fanya uamuzi

Tunza ankara zako za manunuzi

Hakuna Ghalama yoyote kwa mtumiaji wa kawaida

FanyaBiashara Kwa Biashara/karakana

Usimamizi wa mahesabu(usimamizi wa stoku, bidhaa kuagizwa na kuagiza pamoja na utengenezaji ankara, uhasibu, madeni kwa wateja na wauzaji, mapato na matumizi )

Agiza na nunua kutoka kwa wauzaji unaowaamini popote ulipo

Wasiliana na wauzaji pamoja na wateja wako (uwezo wa kuchati)

Unganishwa moja kwa moja na wateja/wauzaji wako

Fanya biashara yako kuwa mubashara kwa wateja wako (Biashara ya kimtandao)

Usimamizi wa wafanyakazi

Tafuta masoko ya bidhaa/huduma/biashara yako

Usimamizi wa huduma kama biashara(kuweka nafasi, kuhudumia na kutoa ankara)

simamia uzalishaji/uchakataji wa bidhaa(vitu vinavyotumika, wafanyakazi, ghalama na muda uliotumika hadi bidhaa zilizozalishwa)

Uhasibu

Fuatilia mapato

Fuatilia matumizi

Kuhamisha pesa

Akaunti za malipo

Ripoti

Manunuzi

Kuweka Kapuni

Oda ya manunuzi

Usafirishwaji

Kupokea

Malipo ya Bili

Ripoti za mwenendo

Stoku

Kufuatilia mwenendo wa bidhaa/vitu

Usimamizi Rangi na saizi za bidhaa

Utambuzi wa barcode

Tambua bidhaa zilizopitwa muda

Kuhamisha bidhaa kwenda matawi mengine

Kupokea bidhaa kutoka matawi mengine

Malekebisho(matumizi, upotevu na Uharibifu)

Ripoti za kina

Uzalishaji

Usimamizi Nyenzo/vitu

Wafanyakazi na kazi

Ghalama nyigine

Uzalishaji wa kuunganisha ama kusambalatisha vitu

Ukokotozi wa thamani kwa Bidhaa zilizozalishwa

Muda wa uzalishaji

Ripoti za kina

Mauzo

kujulisha oda za mauzo

Kushughulikia oda

Kufungasha

Usafirishaji

Utengenezaji ankara

Bidhaa kurudishwa na Kufidia

Mauzo kwa kusikani barcode

Ripoti za kina

Huduma

Kuweka nafasi

Kuhudumia

Ukokotoaji wa ghalama na muda wa huduma

Kusimamia mabadiliko yanayoweza kutokea wakati wa kuhudumia

Kutengeneza ankara

Ripoti za kina

Masoko

Kuchapisha matangazo na ujumbe kuhusu biashara/huduma yako ambapo watumiaji wataelekezwa moja kwa moja sehemu ulipoandaa maelekezo/bidhaa/huduma

Mapendekezo katika utafutaji bidhaa/huduma kwa watumiaji

Mapendekezo ya bidhaa/huduma kulingana na sehemu mtumiaji alipo

Bei ya vifurushi vya FanyaBiashara kwa namna ya matumizi ya usimamizi wa biashara na karakana
none
BURE
TZS. 0/MWEZI

Duka/karakana 1

Msimamizi 1

Usimamizi mauzo/kuhudumia na manunuzi

Uhasibu

Usimamizi wa stoku

Kuskani barcode za bidhaa

Mazungumzo na wateja au wauzaji

Biashara ya kimtandao

LIPA BAADA YA MATUMIZI
TZS. 5,000/MWEZI

Mwezi mmoja bure

Lipa baada ya kutumia kwa miezi inayofuata

Duka/karakana 1

Wasimamizi/Waendeshaji bila kikomo

Usimamizi mauzo/kuhudumia na manunuzi

Uhasibu

Usimamizi stoku

Kuskani barcode za bidhaa

Mazungumzo na wateja au wauzaji

Biashara ya kimtandao

Uzalishaji bidhaa


Mawasiliano

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi

Simu: +255 753202965, +255 782330586, +255 765370232
Barua Pepe : info@fanyabiashara.com
Anwani: Buzuruga plaza 2nd floor, Room No 215, Buzuruga, Mwanza, Tanzania