FanyaBiashara ni mfumo wa kimtandao kwa ajili ya biashara/karakana ambao unaweza kutumiwa na aidha wamiliki wa Biashara/karakana
ama watumiaji wasio na biashara(watumiaji wa kawaida) kwa ajili ya:
Kusimamia mahesabu: (usimamizi wa ghala/stoku, mauzo, manunuzi, marekebisho stoku, uhasibu, uzalishaji bidhaa na kutengeneza ripoti kwa muda maalumu kwa kila muamala uliofanyika,
utambuzi wa bidhaa kwa kutumia barcode na usimamizi wa watumiaji ambao ni wahusika katika akaunti ya biashara).
Biashara kwa njia ya mtandao, kwa watumiaji wa kawaida na wamiliki wa biashara/karakana, ikiwa ni pamoja na mauzo na manunuzi ya bidhaa(kuagiza, kufungasha, kusafirisha, uhakiki wa mnunuaji na muuzaji na utengenezaji wa ankara),
, Utafutaji bidhaa/huduma/duka na kuorodhesha kulingana na sehemu mteja/mtumiaji alipo ama sehemu anayopendelea.
Huduma(Usimamizi kuanzia kuweka nafasi, kuhudumia, marekebisho ya huduma wakati wa kuhudumia, Ukokotozi wa ghalama pamoja na muda wa huduma na utoaji wa ankara).
Kutafuta masoko(Kutafuta soko kwa ajili Duka/bidhaa/huduma/kampuni/taasisi n.k.. kwa njia ya mtandao kulingana na sehemu ambapo mtumiaji atakapohitaji anaweza kupata kinachotafutiwa soko) , ghalama nafuu
FanyaBiashara kwa sasa inapatikana Tanzania nzima(Kanda zote, mikoa yote, wilaya zote, kata na vijiji/mitaa yote, kwa Tanzania tu ) na kwa lugha ya kiingereza na kiswahili.
Mfumo huu ni bure kwa watumiaji wa kawaida(hakuna ghalama yeyote kujiunga na kutumia) , na kwa karakana/biashara kuna gharama kujiunga(kwa ajili ya usajiri wa biashara) halafu mtumiaji atachagua kifurushi cha matumizi kuanzia kifurushi cha bure hadi cha kiwango zaidi
Jiunge bure kama mtumiaji wa kawaida(Hakuna ghalama kujiunga na kutumia)
Baada ya kujiunga kama mtumiaji wa kawaida, Ikiwa una biashara/karakana ya kusimamia unaweza kuwezesha akaunti za usimamizi na ghalama ya kuwezesha itategemea na idadi ya matawi utakayokuwa ukisimamia. Ghalama ni TZS. 10,000/= kwa tawi 1 + tawi jingine moja la nyongeza. Baada ya kuwezesha utachagua kifurushi cha namna ya matumizi kwa kila tawi la kusimamia
Unganishwa moja kwa moja na wauzaji
Agiza na nunua kutoka kwa wauzaji unaowaamini popote ulipo
Pata Taarifa mpya kutoka kwa wauzaji wako unaopendelea
Wasiliana na wauzaji wako
Tafuta na pata unachokihitaji kilichopo karibu yako na popote unapotaka
Pata taarifa za kibiashara na fanya uamuzi
Tunza ankara zako za manunuzi
Usimamizi wa mahesabu(usimamizi wa stoku, bidhaa kuagizwa na kuagiza pamoja na utengenezaji ankara, uhasibu, madeni kwa wateja na wauzaji, mapato na matumizi )
Agiza na nunua kutoka kwa wauzaji unaowaamini popote ulipo
Wasiliana na wauzaji pamoja na wateja wako (uwezo wa kuchati)
Unganishwa moja kwa moja na wateja/wauzaji wako
Fanya biashara yako kuwa mubashara kwa wateja wako (Biashara ya kimtandao)
Usimamizi wa wafanyakazi
Tafuta masoko ya bidhaa/huduma/biashara yako
Usimamizi wa huduma kama biashara(kuweka nafasi, kuhudumia na kutoa ankara)
simamia uzalishaji/uchakataji wa bidhaa(vitu vinavyotumika, wafanyakazi, ghalama na muda uliotumika hadi bidhaa zilizozalishwa)
Fuatilia mapato
Fuatilia matumizi
Kuhamisha pesa
Akaunti za malipo
Ripoti
Kuweka Kapuni
Oda ya manunuzi
Usafirishwaji
Kupokea
Malipo ya Bili
Ripoti za mwenendo
Kufuatilia mwenendo wa bidhaa/vitu
Usimamizi Rangi na saizi za bidhaa
Utambuzi wa barcode
Tambua bidhaa zilizopitwa muda
Kuhamisha bidhaa kwenda matawi mengine
Kupokea bidhaa kutoka matawi mengine
Malekebisho(matumizi, upotevu na Uharibifu)
Ripoti za kina
Usimamizi Nyenzo/vitu
Wafanyakazi na kazi
Ghalama nyigine
Uzalishaji wa kuunganisha ama kusambalatisha vitu
Ukokotozi wa thamani kwa Bidhaa zilizozalishwa
Muda wa uzalishaji
Ripoti za kina
kujulisha oda za mauzo
Kushughulikia oda
Kufungasha
Usafirishaji
Utengenezaji ankara
Bidhaa kurudishwa na Kufidia
Mauzo kwa kusikani barcode
Ripoti za kina
Kuweka nafasi
Kuhudumia
Ukokotoaji wa ghalama na muda wa huduma
Kusimamia mabadiliko yanayoweza kutokea wakati wa kuhudumia
Kutengeneza ankara
Ripoti za kina
Kuchapisha matangazo na ujumbe kuhusu biashara/huduma yako ambapo watumiaji wataelekezwa moja kwa moja sehemu ulipoandaa maelekezo/bidhaa/huduma
Mapendekezo katika utafutaji bidhaa/huduma kwa watumiaji
Mapendekezo ya bidhaa/huduma kulingana na sehemu mtumiaji alipo
Duka/karakana 1
Msimamizi 1
Usimamizi mauzo/kuhudumia na manunuzi
Uhasibu
Usimamizi wa stoku
Kuskani barcode za bidhaa
Mazungumzo na wateja au wauzaji
Biashara ya kimtandao
Mwezi mmoja bure
Lipa baada ya kutumia kwa miezi inayofuata
Duka/karakana 1
Wasimamizi/Waendeshaji bila kikomo
Usimamizi mauzo/kuhudumia na manunuzi
Uhasibu
Usimamizi stoku
Kuskani barcode za bidhaa
Mazungumzo na wateja au wauzaji
Biashara ya kimtandao
Uzalishaji bidhaa
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi